You can not select more than 25 topics Topics must start with a letter or number, can include dashes ('-') and can be up to 35 characters long.
 
 
 
 
 
 
nextcloud-server/apps/files_reminders/l10n/sw.json

35 lines
2.9 KiB

{ "translations": {
"File reminders" : "Vikumbusho vya faili",
"Reminder for {name}" : " Kikumbusho kwa {name}",
"View file" : "Tazama faili",
"View folder" : "Tazama folda",
"Files reminder" : "Kikumbusho cha faili",
"The \"files_reminders\" app can work properly." : "Programu ya \"files_reminders\" inaweza kufanya kazi ipasavyo.",
"The \"files_reminders\" app needs the notification app to work properly. You should either enable notifications or disable files_reminder." : "Programu ya \"files_reminders\" inahitaji programu ya arifa kufanya kazi ipasavyo. Unapaswa kuwezesha arifa au kuzima kikumbusho cha faili.",
"Set file reminders" : "Weka vikumbusho vya faili",
"**📣 File reminders**\n\nSet file reminders.\n\nNote: to use the `File reminders` app, ensure that the `Notifications` app is installed and enabled. The `Notifications` app provides the necessary APIs for the `File reminders` app to work correctly." : "**📣 Vikumbusho vya faili**\n\nWeka vikumbusho vya faili.\n\nKumbuka: ili kutumia programu ya `Vikumbusho vya faili`, hakikisha kuwa programu ya `Arifa` imesakinishwa na kuwashwa. Programu ya `Arifa` hutoa API zinazohitajika ili programu ya `Vikumbusho vya Faili` ifanye kazi ipasavyo.",
"Set reminder for \"{fileName}\"" : "Weka kikumbusho kwa \"{fileName}\"",
"Clear reminder" : "Futa kikumbusho ",
"Please choose a valid date & time" : " Tafadhali chagua tarehe na saa halali",
"Reminder set for \"{fileName}\"" : " Kikumbusho kimewekwa \"{fileName}\"",
"Failed to set reminder" : "Imeshindwa kuweka kikumbusho",
"Reminder cleared for \"{fileName}\"" : "Kikumbusho kimefutwa kwa \"{fileName}\"",
"Failed to clear reminder" : "Imeshindwa kufuta kikumbusho",
"We will remind you of this file" : "Tutakukumbusha kuhusu faili hii",
"Cancel" : "Ghairi",
"Set reminder" : "Weka ukumbusho",
"Reminder set" : " Kikumbusho kimewekwa",
"Later today" : "Baadaye leo",
"Set reminder for later today" : "Weka kikumbusho cha baadaye leo",
"Tomorrow" : "Kesho",
"Set reminder for tomorrow" : "Weka kikumbusho cha kesho",
"This weekend" : "Wikendi hii",
"Set reminder for this weekend" : "Weka kikumbusho cha wikendi hii",
"Next week" : "Wiki ijayo",
"Set reminder for next week" : " Weka kikumbusho cha wiki ijayo",
"This files_reminder can work properly." : " Kikumbusho hiki cha faili kinaweza kufanya kazi vizuri.",
"The files_reminder app needs the notification app to work properly. You should either enable notifications or disable files_reminder." : "Programu ya kikumbusho cha faili inahitaji programu ya arifa kufanya kazi vizuri. Unapaswa kuwezesha arifa au kuzima kikumbusho cha faili",
"Set reminder at custom date & time" : "Weka kikumbusho kwa tarehe na saa maalum",
"Set custom reminder" : " Weka kikumbusho maalum"
},"pluralForm" :"nplurals=2; plural=(n != 1);"
}